Haya Ndio Maajabu Ya STRIPE Katika Kupokea Pesa Kimataifa...
"JE STRIPE NI NINI? Na ina Faida gani kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kimataifa (na wateja wa kutoka sehemu yoyote duniani) na Kupokea pesa kutoka Nje ya nchi?"
Soma hapa chini ๐๐
๐STRIPE ni jukwaa la malipo ya mtandaoni (payment gateway) linalowawezesha wafanyabiashara kama wewe na watu wengine kupokea malipo (pesa) kirahisi kutoka kwa wateja wao ulimwenguni kote.
Kwa hiyo, kama na wewe unataka kufanya biashara na INTERNATIONAL CLIENTS (foreign clients), basi hii ndio njia sahihi ya kutumia.
๐ฏZifuatazo ni baadhi ya Faida za kutumia Stripe: ๐
1๏ธโฃ Urahisi wa Matumizi
Stripe ni rahisi kutumia na ina interface rafiki sana kwa watumiaji.
Kupitia Menu yake unaweza ukapata chochote kile unachokitaka ndani ya muda mrefu. Na pia utaweza kuseti chochote kile ndani ya sekunde chache tu.
2๏ธโฃ Urahisi wa Kupokea Malipo kutoka nje ya nchi
Stripe huwawezesha wateja kutuma malipo kutoka popote pale ulimwenguni. Hivyo, kama Mfanyabiashara unakuwa na uwezo wa kupokea malipo kutoka kwa wateja wa kimataifa (International clients) kirahisi zaidi. Haijalishi wateja hao wapo China, Poland, Urusi, Ghana, Dubai, Canada, Morocco, au kwingineko.
3๏ธโฃ Usalama
Stripe ina mfumo wa usalama wa hali ya juu ambao hulinda taarifa za wateja na Wafanyabiashara.
Malipo yanatumiwa kupitia HTTPS na PCI DSS, na data zote zinahifadhiwa kwa usiri na salama. Hivyo, hakuna mtu yeyote anayeweza kukufanyia udukuzi wala utapeli mtandaoni.
4๏ธโฃ Urahisi wa Kutoa Pesa
Kupitia Stripe unaweza kuchagua kuhamisha pesa yako (malipo) kwenda kwenye akaunti yako ya benki moja kwa moja, na inachukua muda mfupi sana kwa pesa hiyo kufika kwenye akaunti yako.
5๏ธโฃ Ada Nafuu
Stripe inatoza ada za chini ikilinganishwa na majukwaa mengine ya malipo ya mtandaoni. Hivyo, kama Mfanyabiashara, hii inaweza kuwa na faida kwako (ukaweza kuokoa gharama za makato).
Kwa ujumla, Stripe ni njia nzuri, rahisi, na salama katika kupokea malipo ya kazi zako (pesa) duniani kote.
Huu ndio Muonekano wa STRIPE ACCOUNT kwenye Dashboard yake ๐

๐ฏVIDEO YA MUONEKANO WAKE HII HAPA๐ (itazame kwa umakini)
๐ฏMTEJA AKILIPIA BIDHAA/HUDUMA YAKO, UNAPOKEA MESEJI KAMA HII KWENYE EMAIL YAKO ๐๐
๐ฏKISHA PESA ZAKO UNAZITOA KWA NJIA YA SIMU;
Kwa M-Pesa, Airtel Money, au Tigo Pesa
Utachagua njia mojawapo unayoipenda kati ya hizo tatu (3).
๐ฏHII HAPA CHINI NI SCREENSHOT YA MALIPO YANGU NILIYOYATOA KWA KUTUMIA TIGO PESA๐

Njia hii ni ya Uhakika, haina longolongo
KUMBUKA:
โฃUkiwa na STRIPE ACCOUNT unaweza kutengeneza Payment Links* na kuziweka kwenye post zako unazopost kwenye mitandao Ya kijamii, kwenye BLOG post/WEBSITE... kupokea malipo (haraka) kutoka kwa mteja yeyote yule duniani bila kuwa na kikwazo chochote.
โ Hata ukiwa na Application au Online store (e- commerce website) unaweza kutumia hiyo Stripe account kama payment method
Kama Shopify, Amazon, Alibaba, eBay, Selar walivyofanya.
.
LAKINI PIA...
๐ฅฐFAIDA nyingine ya kuwa na #Stripe Account ni kwamba, unaweza kutengeneza Payment Links kwa njia ya QR-CODE, ukaweka kwenye Products zako au kwenye site yako (blog, website, App) na watu wakawa wana-Scan na kulipia moja kwa moja bila kusumbuka kuwatumia link.

Huu ni mfano wa QR-CODE niliyotengeneza kwa kutumia Payment Link yetu.
Kwa hiyo, unakuwa unapiga ndege wengi kwa jiwe 1 tu.
Sasa,
๐ฅILI NIWEZE KUKUFUNGULIA STRIPE ACCOUNT yako nchini Tanzania ๐น๐ฟ ndani ya Saa 24 tu...
Unapaswa kuwa na vitu 5 vifuatavyo (Requirements);
4: Your Date of Birth (as written on your valid means of identification)
5: Your Full name (as written on your ID - national ID, passport or Driver's licence)
.
โ Wasiliana nami sasa hivi nikufungulie hiyo Stripe account Ndani ya saa 24 tu, uanze kupokea pesa kutoka pande zote za dunia, ndani ya sekunde chache bila kizuizi chochote.
(Nimeshawasaidia watu wengi wa ndani na nje Ya nchi ya Tanzania ๐น๐ฟ. SASA NI ZAMU YAKO)
HIZI HAPA SHUHUDA KADHAA ๐๐



JE INAGHARIMU SHILINGI NGAPI KUPATA HII HUDUMA YA KUFUNGULIWA STRIPE ACCOUNT?
Huwa nachaji Tsh. 500,000 ($200)
๐Ila kwa Leo ndani ya hizi saa 24 nitakupatia hii huduma kwa ofa Ya Tsh. 200,000 tu (punguzo la zaidi Ya 50%)
Na pia utapata na Bonus Zifuatazo endapo utachukua hatua ya kuwahi hii ofa Ya saa 24 tu:๐
1: Free Consultation (badala ya kulipia dollar 50 ambayo ni zaidi ya Tsh. 100,000)
2: Document ya kutumia kuVerify account yako baada ya siku 3 au zaidi ili account yako isije ikapata matatizo (badala ya kulipia dollar 50 ambayo ni zaidi ya Tsh 100,000)
Na NI ACCOUNT UTAKAYOITUMIA MAISHA YAKO YOTE.
ILA UKIGHAIRI KUCHUKUA HATUA SIKU YA LEO, UKAPITWA NA HII OFA, BASI KUANZIA KESHO MPAKA MWISHO WA MWEZI HUU UTAPATA HII HUDUMA KWA gharama ya Tsh. 250,000
๐Ambapo utapata Free Consultation, ILA HIYO DOCUMENT YA KUTUMIA KUVERIFY ACCOUNT YAKO ISIJE KUPATA MATATIZO UTALIPIA $50 KUIPATA (hautapewa bure kwa sababu ofa yake itakuwa imeshapita)NA KAMA MWEZI HUU UTAISHA BILA KUCHUKUA HATUA, BASI KUANZIA MWEZI UJAO UTALIPIA TSH. 500,000 KUPATA HII HUDUMA
๐Ila utapata Free Consultation na hiyo Document bure.
๐ฏUWAMUZI NI JUU YAKO SASA.
UPATE STRIPE ACCOUNT KWA OFA YA LEO YENYE BONUS MBILI ZA BURE,
AU UGHAIRI ILI UJE UPATE HII HUDUMA KWA GHARAMA KUBWA ZAIDI KUANZIA KESHO.
JE, ACCOUNT YAKO YA STRIPE UNAIPATAJE?
๐ฏZipo njia 2 za kupata hiyo Stripe account: ๐
1: Unanitumia baadhi ya details zako ambazo nitakuambia, kisha nakufungulia mwenyewe kila kitu, isipokuwa katika hatua mojawapo ndogo tu ambayo itahitaji ushiriki wako.
AU
2: Uje ofisini Mbezi Luis, Dar es Salaam, nikufungulie account yako ukiwepo. (Hii ni kama hauamini njia ya kwanza ya kukufungulia mwenyewe, au kama unataka kujihakikishia tu)
๐Utaniambia ni njia ipi unayoipenda zaidi kati ya hizo 2.
Mwisho kabisa,
๐BONYEZA HIKI KITUFE CHA BLUU KILICHOPO HAPA CHINI KUJA WHATSAPP KUPATA HII HUDUMA YA KUFUNGULIWA STRIPE ACCOUNT kwa Ofa Ya Leo Ya Tsh.200,000 tu na Bonus Mbili za Bure (badala ya Tsh.500,000) ๐๐
Bonyeza Hapa

Huyu ni Dr. Boaz Mkumbo (MD). Alijipatia Stripe Account anayoitumia kwenye E-commerce website yake.
...