JE, UNA BLOG, WEBSITE au APP na unataka Kuiunganisha na Njia Bora za Kupokea Malipo Mtandaoni?
April 17, 2023 at 9:26 am
🚩JE, UNA BLOG, WEBSITE au APP na unataka Kuiunganisha na Njia Bora za Kupokea Malipo Mtandaoni?Okay, twende pamoja.

Ikiwa una blogu, tovuti, au programu (App) na unataka watu (kutoka popote pale duniani) wawe wanalipia huduma zako moja kwa moja bila mizunguko mingi, basi huna budi kutumia Stripe kama PAYMENT GATEWAY yako.
Zifuatazo ni faida kadhaa za kutumia Stripe:
1️⃣ Ina Usalama Mkubwa
Stripe ina mfumo bora wa usalama ambao unaweza kulinda miamala yako yote ya kifedha kiasi kwamba, hakuna mtu yeyote anayeweza kudukua account yako na kuiba pesa zako.
2️⃣ Ina Ada Nafuu
Stripe inatoza ada nafuu sana kuliko huduma nyingine za malipo zilizopo mtandaoni (cheaper than all other payment gateways).
3️⃣ Matumizi Yake ni Rahisi
Stripe ina interface rahisi ya kutumia ambayo inawaweza wateja kufanya malipo kwa urahisi zaidi. Yaani, mchakato wake umerahisishwa sana.
4️⃣ Ina teknolojia ya hali ya juu
Stripe ina teknolojia ya hali ya juu ya malipo ambayo inahakikisha kuwa malipo yako yote yanafanywa kwa usahihi na kwa wakati.
5️⃣ Ina uwezo wa kushughulikia aina tofauti za malipo
Stripe inaweza kushughulikia aina tofauti za malipo, ikiwa ni pamoja na kadi za mkopo (credit cards), malipo ya moja kwa moja kutoka kwenye akaunti za benki (debit cards), malipo ya online (App pay, Google Pay, n.k)
Kwa ujumla, Stripe ni njia bora inayohakikisha kuwa unapata malipo yako kwa usalama, kwa wakati na kwa ufanisi mkubwa.
👉🏻Wasiliana nami sasa hivi nikusaidie kufungua hiyo Stripe account Ndani ya saa 24 tu.
WhatsApp: 0764 793 105
(Ukijaribu kufungua mwenyewe hiyo Stripe account, hautaweza. Utaambiwa haipatikani nchini Tanzania wala Africa. Na hata ukiweza kufungua kwa njia za Panya, itakuja kufungwa ndani ya muda mfupi kwa sababu hautaweza kuVerify account yako).
Kwangu tu ndipo unapoweza kupata uhakika wa kuwa na Stripe account (active and verified) ndani ya saa 24 tu.
Njoo WhatsApp kupitia: 0764 793 105
By LACKSON TUNGARAZA
(Digital marketer & Consultant).
Kwa hiyo, ikiwa unatumia blogu, tovuti, au programu, unapaswa kutumia Stripe kama Payment gateway yako (njia ya kupokelea malipo mtandaoni).