FREELANCER: Pata Faida Zifuatazo Kwa Kutumia STRIPE...
April 17, 2023 at 9:32 am

Kwanza kabisa,
Stripe ni jukwaa la malipo ya mtandaoni (payment gateway) linalowawezesha wafanyabiashara, wakiwemo (freelancers) kupokea malipo kwa urahisi kutoka kwa wateja wao ulimwenguni kote.
Sasa, Zifuatazo ni baadhi ya faida ambazo Freelancer unaweza kuzipata unapotumia Stripe:
1️⃣ Urahisi wa Matumizi
Stripe ni rahisi kutumia na ina interface rafiki sana kwa watumiaji.
Kupitia Menu yake unaweza ukapata chochote kile unachokitaka ndani ya muda mrefu. Na pia utaweza kuseti chochote kile ndani ya sekunde chache tu.
2️⃣ Urahisi wa Kupokea Malipo kutoka nje ya nchi
Stripe huwawezesha wateja kutuma malipo kutoka popote pale ulimwenguni. Hivyo, kama Freelancers unakuwa na uwezo wa kupokea malipo kutoka kwa wateja wa kimataifa (International clients) kirahisi zaidi. Haijalishi wateja hao wapo China, Poland, Urusi, Ghana, Dubai, Canada, Morocco, au kwingineko.
3️⃣ Usalama
Stripe ina mfumo wa usalama wa hali ya juu ambao hulinda taarifa za wateja na Freelancers (wafanyakazi huru).
Malipo yanatumiwa kupitia HTTPS na PCI DSS, na data zote zinahifadhiwa kwa usiri na salama. Hivyo, hakuna mtu yeyote anayeweza kukufanyia udukuzi wala utapeli mtandaoni.
4️⃣ Urahisi wa Kutoa Pesa
Kupitia Stripe unaweza kuchagua kuhamisha pesa yako (malipo) kwenda kwenye akaunti yako ya benki moja kwa moja, na inachukua muda mfupi sana kwa pesa hiyo kufika kwenye akaunti yako.
5️⃣ Ada Nafuu
Stripe inatoza ada za chini ikilinganishwa na majukwaa mengine ya malipo ya mtandaoni. Hivyo, kama Freelancer, hii inaweza kuwa na faida kwako (ukaweza kuokoa gharama).
Kwa ujumla, Stripe ni njia nzuri, rahisi, na salama katika kupokea malipo ya kazi za kifreelancer duniani kote.
👉🏻Wasiliana nami sasa hivi nikusaidie kufungua hiyo Stripe account Ndani ya saa 24 tu.
WhatsApp: 0764 793 105
(Ukijaribu kufungua mwenyewe hiyo Stripe account, hautaweza. Utaambiwa haipatikani nchini Tanzania wala Africa. Na hata ukiweza kufungua kwa njia za Panya, itakuja kufungwa ndani ya muda mfupi kwa sababu hautaweza kuVerify account yako).
Kwangu tu ndipo unapoweza kupata uhakika wa kuwa na Stripe account (active and verified) ndani ya saa 24 tu.
WhatsApp: 0764 793 105
By LACKSON TUNGARAZA
(Digital marketer & Consultant).