JINSI YA KUTENGENEZA PAYMENT LINKS NDANI YA STRIPE ACCOUNT...
April 17, 2023 at 9:35 am

🔥JINSI YA KUTENGENEZA PAYMENT LINKS NDANI YA STRIPE ACCOUNT.
Nimekuwa nikituma hapa mifano ya Payment Links nilizozitengeneza kupitia account yangu ya Stripe, na watu wengi wamekuwa wakiniuliza hili swali,
"Je, ninawezaje kutengeneza hizo Payment Links?"
💰Leo nimeamua kuleta majibu yatakayowasaidia watu wengi kwa wakati mmoja.
Kwanza kabisa,
NINI MAANA YA PAYMENT LINKS?
Payment Links ni viungo vya malipo vinavyotumiwa kurahisisha mchakato wa malipo kwa wateja.
Kwa kutumia Payment Links, muuzaji hutoa kiungo cha malipo kwa mteja, ambapo mteja anaweza kubonyeza kiungo hicho na kupelekwa kwenye ukurasa wa malipo ili kufanya malipo kwa urahisi zaidi... ndani ya sekunde chache.
Huu ni mfano wa Payment Links nilizozitengeneza kupitia account yangu ya Stripe:
Bonyeza Hapa
(bonyeza hiyo link kuona jinsi Payment Links zilivyo)
Sasa, turejee kwenye mada yetu ya JINSI YA KUTENGENEZA PAYMENT LINKS NDANI YA STRIPE ACCOUNT...
Kutengeneza Payment Links ndani ya Stripe account ni rahisi sana. Fuata hatua zifuatazo:
1️⃣ Ingia kwenye Stripe Dashboard yako na bofya kitufe cha "Payments" upande wa kushoto wa skrini.
2️⃣ Bofya "Create Payment Link" upande wa kulia wa screen.
3️⃣ Jaza maelezo ya Payment Link, kama vile kiasi cha malipo, sarafu (currency), na maelezo ya malipo (kama vile kwa nini mteja anapaswa kulipa). Pia unaweza kuongeza picha ya bidhaa au huduma husika.
4️⃣ Chagua njia za malipo unazotaka kuziwezesha kwa malipo hayo. Stripe inaweza kuchukua kadi za Credit na Debit, Apple Pay, na malipo mengine ya mtandaoni.
5️⃣ Baada ya kujaza habari zote muhimu, bonyeza "Create" kuzalisha hiyo Payment Link.
6️⃣ Chagua njia ya kushea Payment Link na wateja wako. Unaweza kushea kupitia barua pepe, ujumbe wa maandishi (text message), au unaweza kuiweka kwenye blog/tovuti yako.
7️⃣ Mteja atakapobofya Payment Link, ataelekezwa kwenye ukurasa wa malipo wa Stripe kufanya malipo.
Hivyo ndivyo unavyoweza kutengeneza Payment Links ndani ya Stripe account!
💰Ikiwa unahitaji kusaidiwa kufungua Stripe account uanze kutengeneza Payment Links zitakazokusaidia kupokea malipo (pesa) kutoka sehemu yoyote ile duniani na kwa currency yoyote (dollar, euro, shillings, pound, n.k.) basi Wasiliana nami sasa hivi.
Leo nimetoa discount ya 50% kwa wanaohitaji kufunguliwa Stripe account
Badala Ya kulipia Tsh. 500K (kama wengine niliotangulia kuwahudumia), Wewe unalipia Tsh. 250K tu.
Njoo WhatsApp sasahivi kwa nambari 0764 793 105 upate account yako ya Stripe ndani ya muda mfupi zaidi kwa discount ya 50% (kwa leo tu)
KUMBUKA: UKISHINDWA KUWA NA HIYO STRIPE ACCOUNT NDANI YA SAA 24 TU, BASI UNARUHUSIWA KUDAI PESA YAKO. NAWE UTAREJESHEWA YOTE BILA USUMBUFU WOWOTE.
BY LACKSON TUNGARAZA
(Digital Marketer & Consultant).