ZIJUE FAIDA 7 ZA KURUSHA MATANGAZO INSTAGRAM KWA KUTUMIA META ADS MANAGER badala Ya Ku-Boost Post zako...

Kwanza kabisa,
๐ฏJe, META ADS MANAGER NI NINI?
Meta Ads Manager ni jukwaa la matangazo linalowaruhusu watangazaji kuandaa, kurusha, kusimamia na kuboresha matangazo yao kwenye mitandao ya Facebook na Instagram.


๐ฅGHARAMA ZA MAFUNZO YA META ADS MANAGER HIZI HAPA CHINI ๐๐
KUNA MAKUNDI MAWILI
๐KUNDI LA KWANZA: KUJIFUNZA KUTUMIA META ADS MANAGER YA KWENYE SIMU (Aplikesheni)


HAPA PANA PAKEJI MBILI - kwa Meta Ads Manager ya kwenye simu:
๐๐ปPakeji ya kwanza
Gharama: Tsh. 49,000 ambapo unapata mafunzo pekee
๐๐ปPakeji ya pili
Gharama: Tsh. 99,000 ambapo unapata mafunzo pamoja na Mentorship (kuendelea kupata ushauri wa bure baada ya mafunzo kuisha)
๐KUNDI LA PILI: KUJIFUNZA KUTUMIA META ADS MANAGER YA KWENYE MTANDAO (Kwa kutumia Laptop/kompyuta) ambayo ina mambo mengi zaidi ndani yake kuliko ya kwenye simu.

HAPA NAPO PANA PAKEJI MBILI.
๐๐ปPakeji ya kwanza
Gharama: Tsh. 150,000 ambapo unapata mafunzo pekee.
๐๐ปPakeji ya pili
Gharama: Tsh. 250,000 ambapo unapata mafunzo pamoja na Mentorship (kuendelea kupata ushauri wa bure baada ya mafunzo kuisha)
๐SWALI; Je, Wewe unachagua kundi lipi na Pakeji ipi kati ya hizo ulizoandikiwa hapo juu?
Niandikie Jibu Lako WhatsApp baada ya kubonyeza hii button ya Bluu hapa chini ๐
KUMBUKA: UKICHUKUA HATUA LEO UTAPATA NA BONUS ZIFUATAZO:
1. PDF YA BURE YA "JINSI YA KUKWEPA DENI LA SPONSORED ADS FACEBOOK NA INSTAGRAM" (ambayo huwa inauzwa Tsh 30,000)
2: PDF YA BURE YA MAKOSA 12 YANAYOKUNYIMA WATEJA INSTAGRAM (ambayo huwa inauzwa Tsh 49,000)
๐Hivyo, unapata faida lukuki zaidi ya Ada Ya mafunzo unayolipia.
ILA UKIGHAIRI KUCHUKUA HATUA SIKU YA LEO, HIZO BONUS ZOTE HAUTAZIPATA. Hivyo, itakuja kukugharimu kulipia Tsh 79,000 kupata PDF ambazo kwa leo unaweza kuzipata bure baada ya kujiunga kwenye pakeji mojawapo kati ya hizo hapo juu.
BONYEZA HIYO BUTTON YA BLUU HAPO JUU KAMA UMEELEWA NA UPO TAYARI KUONA BIASHARA YAKO IKIFANIKIWA ZAIDI - IKIANZA KUPATA WATEJA WENGI NA MAUZO KUPANDA
....