NJIA 5 ZA KUONGEZA FOLLOWERS ZAIDI YA 10,000 (10k) INSTAGRAM...
May 28, 2024 at 8:38 pm,
2 comments
#Soma_Hapa: NJIA 5 ZA KUONGEZA FOLLOWERS ZAIDI YA 10000 INSTAGRAM....👇👇

Hizi njia zote zinafanya kazi, ila chagua njia itakayokupatia matokeo ya haraka.
.
♦️Njia Ya 1: Kuwaambia marafiki na watu wapya unaokutana nao njiani au kwenye mikutano na Events wakuFollow
👍🏼Njia hii inaweza kufanya kazi vizuri endapo utawaambia vyema hao watu thamani (value) watakayoipata kupitia kwenye account yako. Ila ubaya wake ni kwamba, utatumia miezi mingi au miaka kufikia lengo lako ikiwa una idadi ndogo ya marafiki, na ikiwa wewe sio mtu wa kuhudhuria Events mbalimbali. (Ni njia inayohitaji uvumilivu wa hali ya juu)
.
♦️Njia Ya 2. Kutuma link ya account yako ya Instagram kwenye magroup ya Facebook na account yako binafsi na kuwaambia watu wakuFollow
👍🏼Hii inaweza kukuletea watu wengi ndani ya muda mfupi kama account yako itakuwa ni ya kupost mada pendwa (trends) ambazo wakati mwingine haziendani na kazi yako. Ila ubaya wake ni kwamba inaweza kuchukua miezi mingi au miaka kufikia malengo kwa sababu Facebook inazuia post zenye LINKS zisionekane kwa watu wengi.
.
♦️Njia Ya 3. Kutengeneza Content nzuri kwa muendelezo (maudhui) na kuPost kwenye account yako ya Instagram
👍🏼Hii ni njia bora kwa sababu itakuletea watu wanaoendana na kile unachofanya. Ila Changamoto yake ni kwamba, itakuchukua miaka mingi kufikia malengo especially kama post zako hazipati Engagement kubwa (likes, comments, saves na shares nyingi). Ndani ya miaka 3 unaweza kupata Followers 100 tu 😃
.
♦️Njia Ya 4. Kulipia matangazo ya Sponsored Ads au kuwatumia influencers waliopo Instagram
👍🏼Njia hii ni nzuri pia, ila Changamoto yake ni kwamba, utatumia hela nyingi sana kupata matokeo kidogo. Kwa mfano, unaweza Boost tangazo la dola 100 (zaidi Ya laki 3) ukaishia kupata Followers 50 au 150 ukihurumiwa na Instagram 😄
.
♦️Njia Ya 5. Kununua Followers kupitia kwa watu maalumu
👍🏼Njia hii ni balaa, inaweza kukupatia hao followers 10000 au zaidi ndani ya saa 24 tu (siku moja). Yaani unalala, unaamka unakuta account imejaa 10K😃 kwa gharama ndogo ukilinganisha na njia ya 4. Na Followers hao ni kwaajili ya KUFANYA WATU WAPYA WAKUAMINI HARAKA, WAKUHESHIMU NA KUWA NA ADABU WANAPOKUTAFUTA KUNUNUA KITU KWAKO - kwa sababu wanaaminishwa wewe ni Mfanyabiashara wa muda mrefu na unafuatiliwa na watu wengi (unajulikana sokoni).
Wapo watu wengi wanaosema wanaongeza Followers ila ni MATAPELI. UKITUMA HELA ZINALIWA WANAKU BLOCK 🚫
Wasiliana nasi kupata msaada wa kuongeza Followers BILA KUTAPELIWA MTANDAONI.
WhatsApp 👉 0764 793 105.
.
🔥MWISHO: JE NI NJIA GANI KATI YA HIZO 5 HUWA UNATUMIA KUPATA FOLLOWERS ONLINE? Au ni ipi utaanza kuitumia kuanzia leo?
2 comments - NJIA 5 ZA KUONGEZA FOLLOWERS ZAIDI YA 10,000 (10k) INSTAGRAM...
Mauwa juma - March 5, 2025 at 12:44 pm
Iwant to get 10k in my acount of instargram name of acount is_.ars_.lamers5
official_young_max-00 - April 12, 2025 at 3:38 am
hello