FAIDA YA KUWA NA FOLLOWERS ZAIDI YA 10,000 (10k) INSTAGRAM...
May 28, 2024 at 8:44 pm,
No comments
♦️Kama account yako haina FOLLOWERS ZAIDI YA 10,000 (10K) basi kuna mambo mengi sana unayakosa hata kama unapost mambo ya maana katika account yako ya biashara Instagram. 👇👇

.
♦️Kwa nchi zetu za Africa ukiwa na #FOLLOWERS WACHACHE watu wanakuwa na mashaka na uwezo wako kabla ya kufanya kazi nawe.
....Wengi wanakuwa wanahisi BADO hauna uzoefu wa kutosha sokoni, hauna wateja wengi, HAUFAHAMIKI (haujulikani kwa watu wengi), n.k.
.
♦️Na kama unafanya biashara ya KUUZA HUDUMA kama vile kufanya Mentorship, Consultation, graphics design, uchoraji, website development, n.k INAKUWA NGUMU SANA KWA WATEJA WAPYA KUKULIPA PESA KUBWA kwa sababu wanakuwa wanahisi wewe bado ni mdogo (haufahi kulipwa sana😃)
.
.....KWAHIYO KAMA UNATAKA KUCHUKULIWA SERIOUS MTANDAONI HAKIKISHA ACCOUNT YAKO INAKUWA NA FOLLOWERS WENGI (angalau 10K ionekane kwenye account yako).
.
♦️Hao followers 10,000 (10K) kwaajili ya KUFANYA WATU WAPYA WAKUAMINI HARAKA, WAKUHESHIMU NA KUWA NA ADABU WANAPOKUTAFUTA KUNUNUA KITU KWAKO... na hata UKIWAPANGIA #BEI KUBWA KWENYE HUDUMA/BIDHAA WATALIPIA BILA KUSUMBUA - kwa sababu wanakuwa wanaamini wewe ni Mfanyabiashara wa muda mrefu, unafuatiliwa na watu wengi (unajulikana sokoni)na unaaminika.
.
♦️Mpaka hapo, JE UNATAMANI NA WEWE KUWA NA FOLLOW WENGI INSTAGRAM? Angalau uwe na 10K au zaidi?
Sasa, Wapo watu wengi Instagram wanaosema wanaongeza Followers ila ni MATAPELI. UKITUMA HELA ZINALIWA WANAKU BLOCK 🚫
.
Wasiliana nasi leo kupata msaada wa kuongeza Followers BILA KUTAPELIWA MTANDAONI.
.
.
#WhatsApp namba 👉 0764 793 105.
.
.
🔥MWISHO: Andika kwenye #COMMENT unatamani uwe na Followers wangapi kwenye account yako.
.
@lamaxdigitalworld
@lamaxdigitalworld