USIPITWE NA HILI DARASA...
June 22, 2024 at 12:32 pm
KWANZA KABISA,
🔥Usione HASARA KUMLIPA MTU kiasi fulani cha HELA ili akufundishe ujuzi utakaokusaidia kupata hela. Binafsi mwaka 2021 kuna mtu nilimlipa Tsh.40,000 anifundishe ujuzi fulani katika digital marketing na ujuzi huo umeshanipatia zaidi ya Tsh. 1,000,000 tangu nilipoanza kuufanyia kazi. 🔥
KUJIFUNZA UJUZI SIO KUPOTEZA HELA,
NI UWEKEZAJI UTAKAOKULIPA ZAIDI YA HELA UNAYOITOA LEO.
UJUZI una R.O.I (Return on investment) kubwa sana.
♦️Kwa Tsh.30,000 tu UNAINGIA KATIKA DARASA HILI LA SIKU 3 WhatsApp ambapo UTAJUA YAFUATAYO kwa undani👇
✍1...JINSI YA KUWAONGEZEA WATU FOLLOWERS KATIKA MITANDAO YOTE YA KIJAMII (Facebook, Instagram, TikTok, YouTube)
.....Hii ni fursa ya uhakika kwa wakati huu wa sasa. Karibia kila mtu aliyepo Online anataka kuonekana ana Followers wengi ili aonekane ni wa STATUS YA HALI YA JUU😀. Ukijua kucheza nao, maokoto ni yako.
✍2....JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI WA KUWAONGEZEA FOLLOWERS (Njia gani utumie)
✍3....JINSI YA KUPANGA BEI ZITAKAZOWAVUTIA WATEJA WENGI (hapa kuna Siri ambayo wengi hawaijui)
✍4.....JINSI YA KUWAFANYA WATU WAKUAMINI HARAKA (wasikuone tapeli)
JE UPO TAYARI KUINGIA KATIKA HILI DARASA? Bonyeza hii button ya Bluu hapa chini KUWAHI NAFASI-ZIPO KUMI TU 👇 (Darasa Litaanza Kesho)
🔥
KUMBUKA: UTAKUWA NA UWEZO WA KUINGIZA WALAU KILO MOJA KILA WIKI (kwa kima cha chini, ukiwa na bidii)🔥

.....